Home
Unlabelled
OLD SKUL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
naona boflo linapeta huku ford Anglia ikisubri muda wake, safi sana
ReplyDeleteGood memory!
ReplyDeleteThanx for posting! During those times, even a head master (teacher)could afford a Ford Anglia. And the bus should be Leyland....
ReplyDeleteBlackmpingo
Hiyo itakuwa pale daraja la ruaha mbuyuni safi sana mdau kwa kutukumbusha enzi hizo
ReplyDeletePicha nzuri sana jamani!!!! Thanks!! Hata mimi nahisi hapa ni pale Ruaha Mbuyuni...Tunaomba mdau yeyote atakayepita hapa siku za karibuni atupigie picha akiwa mahali hapa ili tuangalie mabadiliko yaliyojitokeza !!! Tunaomba muendelezo wa hii makala ya OLD SKUL PIKCHAS ili tujikumbushe mengi!!! Many Thanks
ReplyDeleteHiyo ilikuwa miaka gani ama ilikuwa miaka sawa na Umbali wa hizo MILES?
ReplyDeleteIRINGA 72 Miles = mwaka 1972?
MBEYA 30 Miles = mwaka 1930?
Those were OLD GOOD DAYS when Apple and Blackberry were just eating fruits and not phones!
ReplyDeleteHapo miaka hiyo kuisafisha picha hiyo ya rangi baada ya kupigwa ilichukua mwezi mmoja!
ReplyDelete
ReplyDeleteHapo ambacho hakijabadilika ni mawingu tu, wengi waliokuwepo kipindi hicho hawapo hivi sasa kweli dunia watu wanapita tu