Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(Meza Kuu) akifanya mazungumzo rasmi na Ujumbe Maalum toka Nchi Wanachama wa SADC unaoshughulika na Mafunzo ya Uangalizi wa Amani Kimataifa walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza. Jeshi la Magereza Nchini limeteuliwa na Kituo cha Mafunzo ya Uangalizi wa Amani - SADC kuwa mwenyeji wa Mafunzo ya Uangalizi wa Amani wa Kimataifa yatakayofanyika hivi karibuni Nchini Tanzania.
Makamishna wa Jeshi la Magereza Nchini wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(hayupo pichani) wakati Ujumbe toka Nchi Wanachama wa SADC unaosimamia Mafunzo ya Uangalizi wa Amani
...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Katika ujumbe huu hakuna mwenye laptop au ipad naona note books. wakati wa kuvuka toka analogue kuingia digital ni huu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...