Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka "FFU Ughaibuni"  yenye makao yake nchini Ujerumani, inawapa mkono wa IDD el Fitr wadau wote wa ndani na nje ya Tanzania.
Sherehekeeni sikuu ya EID MUBARAKA kwa amani na furaha

EID MUBARAKA ! EID MUBARAKA ! EID MUBARAKA
msikose kusikiliza at www.ngoma-africa.com 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2014

    maafande wakuu wa kikosi maalumu ughaibuni tunawataakieni mkono wa Idd nanyi pia Idd mubarak

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2014

    ngoma africa band aka viumbe wa ajabu tumeupokea mkono wenu wa idd
    mbarikiwe na mwenyezi mungu huko mliko mzidishe mapambano yenu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2014

    ngoma africa band aka viumbe wa ajabu tumeupokea mkono wenu wa idd
    mbarikiwe na mwenyezi mungu huko mliko mzidishe mapambano yenu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 28, 2014

    wazee wa kazi ffu ninawatakieni mkono wa eid mubaraka
    na kwata zenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...