Mwakilishi wa Jimbo la Uzini (CCM) Mohamedraza Hassanal (kulia) akizungumza na Waandishi wa habari katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace mjini Zanzibar. Katika mazungumzo yake alisema ni Vyema Bunge la Katiba likaahirishwa ili kutoa fursa zaidi Watu wajihusishe na harakati za Uchaguzi Mkuu wa 2015 na Kupatikane Wasaa mpana wa kujadiliana kwa dhamira ya dhati ya kupata Katiba Bora inayoridhiwa na upande wa Bara na Visiwani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2014

    'KATIKA MPYA' NDIYO NINI ANKAL?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2014

    Mtajustfy vipi mabilioni ya pesa za walipa kodi yalioteketea mpaka kufikia sasa.Shida kubwa ni kwamba hoja hii muhimu imemezwa na ubinafsi wa vyama na kama hakutakuwa na maridhiano sasa hakuna guarantee maridhiano hayo yatapatikana baada ya uchaguzi.Ni vp wameshindwa kutumia effectively kipindi ambacho bunge hililikuwa limeahirishwa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...