Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. The mdudu,sasa hiyo ndio nn? Hawa mbona wanapenda sn kutania maisha ya watanzania hivi kweli hapo SUKA ni morogoro vijijini au ipo ndani ya DAR? Yaani mpaka moyo umechefuka yaani hata kujenga jengo la maana mpaka Rais Kikwete aseme? Hii ni hatali sn

    ReplyDelete
  2. ze mdudu utaumia sanaaaaa..hii ndiyo bongo mjomba kila mtu anajiita mjanja..aka " sisi wabongo wajanja". maneno mengi....sasa hicho kituo cha polisi ni aibu tupu na pia jeshi la polisi wamekosa aibu na heshima ya hiyo nemba..hata mimi nimeingia mpaka hasira...kazi zao kuvaa suti na tai kama mijusi lakini mambo ya maana yanatushinda...pole sana ze mdudu..

    ReplyDelete
  3. Juzi nilikuwa na safiri air port dar. Nikaingia hotelini pale juu kupata huduma. Wafanyakazi wamevaa suti safi na wahudumu wote wako very smart. Kuingia chooni hapafai kuchafuu na hakuna toilet papper.Nikarudi nikawaambia, mhudumu akaniambia kuchuka paper hizi za kufutia mikono kama hamna toilet, maana nikapewa papers hizi watu wanapangusia midomo wakiwa mezani kula chakula...bongoooo!!!

    ReplyDelete
  4. Tujenge ofisi ndogo za polisi zenye hadhi hata kama zinajengwa kwa nguvu ya wananchi tuweke viwango si kukubali hata vioski view ofisi za polisi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...