Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akikata utepe kuzindua msaada wa vyoo na mfumo wa maji safi kwenye shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wa kwanza kulia ni Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Kigoma, Fidelis Ndahani. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akikata utepe kuzindua msaada wa vyoo na mfumo wa maji safi kwenye shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wa kwanza kulia ni Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Kigoma, Fidelis NdahaniNaibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya, akisikiliza hotuba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi, wakati wa sherehe ya makabidhiano ya msaada wa Vyoo na mfumo wa maji kwenye shule ya Msingi Kipampa. Wengine kutoka kulia ni Meneja Mahusiano wa TPB, Noves Moses na Meneja wa TPB, Tawi la Kigoma, Fidelis Ndahani. Naibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya, akisikiliza hotuba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi, wakati wa sherehe ya makabidhiano ya msaada wa Vyoo na mfumo wa maji kwenye shule ya Msingi Kipampa. Wengine kutoka kulia ni Meneja Mahusiano wa TPB, Noves Moses na Meneja wa TPB, Tawi la Kigoma, Fidelis NdahaniNaibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya akifungua bomba la maji kwenye mojawapo wa vyoo vilivyokarabatiwa na Benki ya Posta kwenye Shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wanaotazama ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB Sabasaba Moshingi Mkuu wa shule ya Kipampa. 




Naibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya akifungua bomba la maji kwenye mojawapo wa vyoo vilivyokarabatiwa na Benki ya Posta kwenye Shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wanaotazama ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB Sabasaba Moshingi Mkuu wa shule ya Kipampa.Ofisi Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kipampa baada ya kuwakabidhi vyoo vipya pamoja na mfumo wa maji safi. Ofisi Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kipampa baada ya kuwakabidhi vyoo vipya pamoja na mfumo wa maji safi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...