Sasa huyu huku amefata nini???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. 4WD mbovu. Anaogopa mashimo na madimbwi... Ndio madereva wa DSM siku hizi.. Njoo bararaba ya Nderingo asubuhi kwenye keep-left ya mwaikibaki road utashuhudia. na wenzetu wa mbalamwezi wanabariki haya mambo.... hapo ni utemi utemi tuuuu

    ReplyDelete
  2. Hivi watu kwanini hawafuati taratibu zilizowekwa barabarani?

    ReplyDelete
  3. Wakitaka watu wafuate taratibu mahandaki katika barabara yafukiwe...Hilo shimo hapo ni kubwa, kupita kwa gari wkt mwingine unaona issue...halafu chakusikitisha lipo town kabisa...Viongozi wetu hawawajibikii..Si kosa la Dereva kosa la viongozi kutoangalia barabara hizi...Yaani Posta Barabara hivyo je huko pembezoni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...