Mkurugenzi Mkuu  Madame Rose Abdallah akitoa shukrani kwa wageni waliofika kwenye mchaparo wa kusherehekea kutimiza Miaka 20 ya Antelope Tours& Travel Services Ltd iliyofanyika mwishoni mwa juma jijini Dar es salaam
 Mkurugenzi Mkuu Eckhardt Mtasiwa akiongelea machache kuhusu kampuni kwa wageni waalikwa
 Bwana Davis Mosha akiongea machache baada ya kupokea tuzo ya mteja wa Antelope Tours & Travel Services Ltd wa miaka mingi
 Meneja Mkuu Bwana Harry Chopeta akipokea tuzo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Rose Abdallah na wakurugenzi Bwana Eckhardt Mtasiwa na Bi Lysa John
 Mkurugenzi mkuu Rose Abdallah akikata keki huku  na wafanyakazi wa Antelope na Meneja mkuu wa Amadeus Juan Tores wakiisubiuri kwa hamu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. safi sana na HONGREA sana sister ROSE mungu akujaalie afya njema ili utali uzidi kuimarika hapo nyumbani

    Tuna kumiss sana hapa UTRECHT HOLLAND.....nitakutafuta kwa ajili ya maonyesho ya mwezi ujao hapa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...