Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na balozi wa Uholanzi nchini Tanzania  Jaap Frederiks alipofika ofisini kwake Migombani kwa mazungumzo.
 Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania  Jaap Frederiks akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ofisini kwake Migombani.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na balozi wa Uholanzi nchini Tanzania  Jaap Frederiks alipofika ofisini kwake Migombani.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na balozi wa Uholanzi nchini Tanzania  Jaap Frederiks (kushoto). Kulia ni afisa ubalozi wa Uholanzi.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongozana na mgeni wake  balozi wa Uholanzi nchini Tanzania  Jaap Frederiks baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwake  Migombani.
Picha na Salmin Said,OMKR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...