Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro,Mohamed Lukwele (kushoto) akimkabidhi Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa Selcom, Juma Mgori  mkataba wa makubaliano ya kuanza kuendesha mfumo wa ukusanyaji wa mapato.anayeshuhudia katikati ni Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta.
Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro,Mohamed Lukwele (kulia) akitia saini mkataba na Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom Tanzania, Juma Mgori (katikati) na kushoto ni Meneja miradi wa Selcom,Gallus Runyeta. 
Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro,Mohamed Lukwele (kushoto) akionesha mkataba walio saini na kampuni ya Selcom Tanzania baada ya kutiliana saini kuanza kuendesha mfumo wa ukusanyaji wa mapato. katikati ni Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta na Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa Selcom, Juma Mgori  Makabidhiano hayo yamefanyika Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...