Mwenyekiti wa Shirika la World Doctors kutoka Itali Bi. Tanya Niestedt (kulia) akizungumza na Waganga wa Tiba asili hawapo pichani katika semina ya siku moja ya yakuwataka waganga hao washirikiane na Madaktari katika kutibu magonjwa ya Kisukari na Presha, kushoto ni Mkuu wa kitengo cha maradhi yasiyo ambukiza Zanzibar Dkt. Omar Mwalim, hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Zanzibar.
  Mkuu wa kliniki ya Kisukari Hospitali ya Mnazi mmoja Dkt. Faiza Kassim (aliesimama) akizungumza na Waganga wa tiba asili na tiba mbadala kuhusu mashirikiano ya utibabu wa magonjwa ya kisukari na presha.Ili kuepuka mgonjwa mmja kutumia dawa za Hospitali na zile zinazotolewa na waganga hao. 
Mmoja wa Waganga wa Tiba asili Bi. Zahra Hassan Ali akichangia katika semina hiyo iliyofanyika ukumbi wa Wizara ya Afya mnazi mmoja Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...