Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozindua Uandishi wa Wosia katiak sherehe za miaka 25 ya Chama cha Wanasheria Wananwake (TAWLA0 kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam Mei 30, 2015.Kushoto ni balozi wa Sweden nchini, Lennarth Hjelaker
 7452  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi Mwanaidi Maajar baada ya kuhutubia katika sherehe za siku ya Wanasheria Wananwakde Tanzania Tawla , kwenye viwanja vya  Karimjee jijini Dar es salaam Mei 30, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Balozi wa Sweden Nchini, Lennarth Hjelaker baada ya kuhutubia katika sherehe za kuadhimisha miaka 25 ya Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kwenye viwanja vya  Karimjee  jijini Dar es salaam Mei 30, 2015.
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) baada ya kuhutubia katika sherehe za miaka 25 ya chama hicho kwenye viwanja vya  Karimjee jijini Dar es salaam Mei 30, 2015. Aliyekaa wapili kulia ni balozi wa Sweden nchini, Lennarth Hjelaker.
   Baadhi ya wananchama wa Chama cha Wanasheria Wananwake (TAWLA) wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sherehe za miaka 25 ya TAWLA zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es slaam Mei 30, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2015

    Endeleeni kuinua wanawake wote, walio kwenye ndoa wanaohitaji msaada wa kisheria na kundi kubwa la wanawake ambao hawako kwenye ndoa (singles) nao wainuliwe ili waweze kujitambua, kujithamini kama watanzania wanaoweza kuleta maendeleo na kutoa mchango wao katika jamii bila kubaguliwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...