Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli akiongozana na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali  Mbazi Msuya wakati wa kufuatilia Utekelezaji wa Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame kijijini Masanga , wilayani Kishapu Shinyanga, tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia UNICEF.
Baadhi ya wanakikundi cha Mkombozi kata ya Masanga wilayani Kishapu Shinyanga, wakiwa na mbuzi waliowapata kutoka Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia UNICEF.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli (wa kwanza kushoto) akimsikiliza mwanakikundi cha Mkombozi kata ya Masanga wilayani Kishapu Shinyanga wakati akieleza manufaa ya ufugaji wa mbuzi waliowapata kutoka Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame wilayani Kishapu Shinyanga, tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia UNICEF. Kulia kwake ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi hiyo, Brigedia Jenerali, Mbazi Msuya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...