Meneja wa Diamond Trust Benk Tawi la Zanzibar Ndg Othman Juhudi akizungumza na Wateja wa DTB na Wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya futari maalum walioandaliwa wateja wao katika viwanja vya hoteli ya Serena Shangani Zanzibar.
Mwenyekiti wa Bodi ya Diamond Trust Mahboob Shamsi akitowa maelezo ya huduma za Benki yao kwa Watajea wao waliohudhuria hafla maalum ya futari waliowaandalia katika viwanja vya Hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. 
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akizungumza wakati wa hafla ya futari ilioandaliwa na Benki ya Diamond Trust Tawi la Zanzibar kwa ajili ya Wateja wake iliofanyika hoteli ya Serena Shangani Zanzibar. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...