Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akielekea viwanja vya Ole Kanambe kwa ajili ya kushiriki sala ya aliyekuwa Sheikh maarufu wa Ole marehemu sheikh Alawy bin Omar bin Salim Baalawy, aliyefariki jana usiku.
Mamia ya waombolezaji kisiwani Pemba wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa sheikh maarufu wa Ole Kanambe marehemu sheikh Alawy bin Omar bin Salim Baalawy, aliyefariki jana usiku.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, pamoja na waumini wa dini ya Kiislamu Kisiwani Pemba, wakiitikia dua baada ya kuusalia mwili wa aliyekuwa Sheikh maarufu wa Ole Kanambe, marehemu sheikh Alawy bin Omar bin Salim Baalawy.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa Sheikh maarufu wa Ole marehemu sheikh Alawy bin Omar bin Salim Baalawy, aliyefariki jana usiku.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, pamoja na waumini wa dini ya Kiislamu Kisiwani Pemba, wakiomba dua baada ya kuuzika mwili wa aliyekuwa Sheikh maarufu wa Ole Kanambe, marehemu sheikh Alawy bin Omar bin Salim Baalawy. (picha na Salmin Said, OMKR)
mitutu kwenye shughuli hii maana yake nini? Usalama aina hii sioni maana yake. "Nchi yenye amani" ndivyo yatangazwa lakini picha hii inanipa maswali mengi sana. Punzika pema Sheikh Alawy
ReplyDelete