Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Bw. Awadh Massawe kulia akitoa maelezo ya maboresho yanayoendelea kufanyika katika Bandari ya Dar es Salaa kwa ujumbe wa Benki ya Dunia, ambao ulifanya ziara ya kujionea miradi ya maboresho inayoendelea kufanyika katika Bandari hiyo ambayo miongoni mwa miradi hiyo inafadhiliwa na benki hiyo ili kusaidia kuleta ufanisi wa utendaji kazi, wa pili kutoka kushoto nia Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika,Bw. Makhtar Diop, wa pili kulia niKatibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka, wa kwanza kushoto ni Mwakilishi Mkazi mpya wa Benki Dunia Tanzania, Bella Bird.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka wa pili kulia akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika,Bw. Makhtar Diop wa pili toka kushoto, wakati ujumbe wa Benki ya Dunia ulipofanya ziara ya kujionea miradi ya maboresho inayoendelea kufanyika Bandari ya Dar es Salaam ambayo miongoni mwa miradi hiyo inafadhiliwa na benki hiyo ili kusaidia kuleta ufanisi utendaji kazi, kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Bw. Awadh Massawe na kustoto ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Bw. Philippe Dongier aliyemaliza muda wake wa kuhudumu nchini.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Bw. Awadh Massawe kati akitoa maelezo ya maboresho yanayoendelea kufanyika katika Bandari ya Dar es Salaa kwa ujumbe wa Benki ya Dunia, ambao ulifanya ziara ya kujionea miradi ya maboresho inayoendelea kufanyika katika Bandari  hiyo ambayo miongoni mwa miradi hiyo inafadhiliwa na benki hiyo ili kusaidia kuleta ufanisi wa utendaji kazi, wa pili kutoka kushoto nia Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika,Bw. Makhtar Diop, wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka, wa kwanza kulia ni Naibu Mkurugenzi Mkuu anayeshughulikia Miundombinu katika Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Bw. Alois Matei na wa pili kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Bw. Philippe Dongier aliyemaliza muda wake wa kuhudumu nchini.
Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...