Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2015

    Ndiyo, hili ni kabila kuu la Tanzania.
    Na hivi ndivyo watu walivyoshirikiana miaka nenda miaka rudi ktk makabila mbalimbali hapa kwetu Tanzania; Watu wakifanya kazi zao kwa hiari, ushirika, uwajibikaji, furaha na umoja wa kweli.
    Hii ni kabla hajaja yule mjanja muovu aliyeita kila tulilolifanya kuwa ni la kishenzi! kwa kutoelewa kwetu nasi tukakubaliana nae na tukaupoteza huu utamadunu wa kweli kweli, sasa hivi umebakia kidogo sana. Hawa jamaa wanaweza kulima hihi kwa saa mbili 'Non stop'. Na hata hapa utamaduni huu tunauona kama kitu kigeni vile. LAKINI HII NDIYO JADI, CHAKULA TELE KILA KAYA.
    Asante kwa hii clip ngosha MICHUZI

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2015

    Bless these hard working souls. If only the government would show mercy and provide supporting environment to at last aleviate poverty.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...