Mkuu wa Taasisi ya Vodacom Foundation Tanzania Renatus Rwehikiza (mwenye Shati jeusi aliyeinama) na Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Doris Mollel (aliyechuchuma) wakikabidhi msaada wa vyakula kwa Ashura Sanno mkazi wa kata ya Kasimbi Kigoma Ujiji ambaye alinufaika na msaada huo kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom kwa watu wenye kipato cha chini kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Mkuu wa Taasisi ya Vodacom Foundation Tanzania Renatus Rwehikiza (wa tatu kushoto) na Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Doris Mollel (wa tatu kulia) wakikabidhi msaada wa vyakula kwa Mwanne Hamisi mmoja wa wananchi aliyenufaika na misaada huo kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom Ramadhan kwa watu wenye kipato cha chini wa kata ya Kasimbi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Meneja wa Vodacom Tanzania mkoa wa Kigoma,Nathan George (kulia) akikabidhi msaada wa vyakula vya aina mbalimbali kwa familia ya Tamasha Jumanne msaada huo uliotolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa watu wenye kipato cha chini wa kata ya Kasimbi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...