IMG_6897
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akipozi na bango la picha lenye rangi mbalimbali zinazowakilisha malengo ya dunia 17 kwa Maendeleo Endelevu wakati wa mdahalo kwenye juma la Umoja wa Mataifa ambalo linamalizika leo katika maadhimisho ya miaka 70 tangu kuundwa kwa umoja huo. Mdahalo huo umefanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jana.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

Na Mwandishi wetu
RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa ametoa wito wa kufanyika kwa mabadiliko katika mfumo wa uendeshaji wa Umoja wa Mataifa ili kukidhi mahitaji ya sasa ya dunia.
Mkapa alisema hayo jana katika mdahalo kwenye juma la Umoja wa Mataifa ambalo linamalizika leo katika maadhimisho ya miaka 70 tangu kuundwa kwa umoja huo. Mdahalo huo umefanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jana.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...