Fuatilia uchambuzi wa soka wa Timu ya Taifa,Taifa Stars inayotarajia kuiivaa Algeria baada ya kufuzu katika hatua ya awali https://youtu.be/FkfZmS2HcH4 

Itambue siku ya Taifa ya kuadhimisha upunguzaji wa maafa na majanga ambayo huadhimishwa ifikapo Okoba 13 kila mwaka: https://youtu.be/cFM0NLapGxY https://youtu.be/iC6UbTwuR_0 

Klabu ya Toto Afrikan imefanya uchaguzi mdogo kuziba nafasi 3 ambapo Godwin Aiko ameibuka mshindi na kuwa mwenyekiti mpya klabuni hapo:https://youtu.be/s1Q6msm58iY

Klabu ya Toto Afrikan imefanya uchaguzi mdogo kuziba nafasi 3 ambapo Godwin Aiko ameibuka mshindi na kuwa mwenyekiti mpya klabuni hapo:https://youtu.be/s1Q6msm58iY 

Chama cha soko Nchini England FA chagawanyika kuhusu kumuunga mkono Michel Platini kutokana na kusimamishwa na kamati ya maadili https://youtu.be/VcljC9dIWCI 

Tambua umuhimu wa mdahalo katika wakati huu wa kuelekea uchaguzi Mkuu ambao unatarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu: https://youtu.be/wu5n8ISXsK0 

Timu ya Taifa, Taifa Stars imefanikiwa kufuzu hatua inayofuata licha ya kipigo  cha bao 1 kwa bila dhidi ya wenyeji Malawihttps://youtu.be/YShM-ZB39nc 
  
Mamlaka ya usimamizi wa mto Pangani huenda ikawa chanzo cha mgogoro kwa watumiaji wa maji ya mto huo. https://youtu.be/ItuUTW_yRSA 

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Mizengo Pinda awataka watanzania kutofanya makosa kuchagua wagombea wasiokuwa na uwezo wa kugombea.https://youtu.be/iIhaYxRzZd0 

Mkuu wa mkoa wa Geita Fatma Mwasa awataka wakuu wa wilaya hiyo kufanya kazi kwa weledi mkubwa na kuacha kukumbatia wawekezaji.https://youtu.be/8zDqIG6Lknc

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...