Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Michezo, Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda akimkabidhi bendera Nahodha wa Timu ya Taifa ya wanawake ya  Mchezo wa Mpira wa Magongo  Bi Kidawa Abdallah katika hafla ya kuwaaga  wachezaji hao wanaoelekea nchini Afrika Kusini kwenye mashindano ya  mchezo huo yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni. Wa kwanza kulia ni Afisa Mkuu wa Fedha kutoka Benki ya NMB Bw. Waziri Barnabas
Afisa Mkuu wa Fedha kutoka Benki ya NMB Bw. Waziri Barnabas akimkabidhi  jezi Nahodha wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Magongo   Bw. Amarjet Singh  katika hafla ya kuwaaga wachezaji hao wanaoelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mashindano ya mchezo huo yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni.
 Afisa Mkuu wa Fedha kutoka Benki ya NMB Bw. Waziri Barnabas akiongea na wanahabari  katika hafla ya kuwaaga wachezaji hao wanaoelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mashindano ya mchezo huo yanayotarajiwa kuanza hivi karibuni. Picha na Benjamin Sawe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...