Mshindi wa Droo ya mwezi Desemba 2015, Daniel Mugasa, akisaini kwenye kitabu maalumu baada ya kukabidhiwa vocha ya manunuzi yenye thamani ya shilingi Milioni 1 na Meneja Masoko na Uhusiano wa Duka la nguo la Woolwoorths Tanzania, Edwina Barongo, wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Ili mteja aweze kushiriki katika shinadano hilo ni lazima awe na card maalumu ya inayomwezesha kununua bidhaa katika maduka ya Woolworths (Wreward Loyalty Card).
Mshindi wa Droo ya mwezi Desemba 2015 , Daniel Mugasa , akikabidhiwa na Meneja Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Woolwoorths Tanzania, Edwina Barongo vocha ya manunuzi yenye thamani ya shilingi Milioni 1 , baada ya kuibuka mshindi . Ili mtena aweze kushiriki katika shinadano hilo ni lazima awe na card maalumu ya inayomwezesha kununua bidhaa katika maduka ya Woolworths (Wreward Loyalty Card) . Hafala hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko na Uhusiano wa duka la nguo la Woolwoorths Tanzania, Edwina Barongo ( Kulia) akimuonyesha bidhaa mpya mshindi wa Droo ya mwezi Desemba 2015 , Daniel Mugasa wakati alipofika katika Duka la Woolworths jijini Dar es Salaam, kumkabidhi zawadi yake vocha ya manunuzi yenye thamani ya shilingi milioni 1 baada ya kuibuka mshindi katika droo ya Woolworths ya Desemba 2015. Ili mteja aweze kushiriki katika shinadano hilo lazima na card maalumu ya kuweza kununua bidhaa katika maduka ya Woolworths (Wreward Loyalty Card) Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...