Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira Tanzania Mhe Luhaga Mpina akitembelea eneo hilo wakati wa ziara yake kutembelea miradi ya Tabianchi Zanzibar akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar wakiwa kastika ufukwe wa pwani ya kizingo. 
Naibu Waziri wa Afisi ya Rais Muungano na Mazingira Tanzania Mhe Luhaga Mpina na Mbunge wa Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Nadi Mhe Eng Hamad Yussuf Masauni wakitembelea eneo la ufukwe wa pwani ya kilimani ilioathirika kwa kuliwa na bahari sehemu kubwa ya eneo hilo na kuingia maji katika maeneo ya jirani na makaazi.
Ujumbe wa Maafisa wa Mazingira wa Afisi ya Rais Muungano wakitembelea eneo hilo na Naibu Waziri Mhe Luhaga Mpina.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Eng Masauni akiwa katika ziara hiyo kutembelea eneo hilo la kilimani lililoharibika kwa kuliwa na bahari kutokana na Tabia Nchi.  Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...