Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (kushoto), akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Bw. Reginald Mengi (kulia), wakati akisisitiza jambo katika mkutano na wadau wa Sekta Binafsi uliofanyika Wizarani hapo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akimsikiliza kwa makini Rais wa Wakala wa Forodha ya Tanzania (TAFFA), Bw. Steven Ngatunga wakati wa Mkutano wa Waziri huyo na Wadau wa sekta binafsi.
Wadau wa sekta binafsi wakijadiliana jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa katika mkutano wao uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mdau wa sekta binafsi Bw. Felix Mosha (wa kwanza kulia) akifafanua jambo katika mkutano wa wadau hao. (Kushoto) ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa na katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Bw. Reginald Mengi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hapa ndio jukwaa muafaka kwa sekta binafsi kuomba serikali kupunguza kodi za bidhaa zisizo na upinzani na bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi.Hii italeta tija ya wajasilimali kuweza kufanya biashara na kuweza kulipa kodi kwa hiari.However quality ya hizo bidhaa zidhibitiwe,ili mnunuzi apate value ya kitu anachununua.

    ReplyDelete
  2. Minister regret to notify that PPP can not play a role if the goverment entity like TPA practises power to penalise major stackholder like CFA to first be suspended / penalise for an act of untrust of the entire senior levels swindling goverment revenue and instead now penalising agent!!! While the dirty game is played within TPA and CRDB staffs????? Why penalise agents even lacking documents on your archives it's a great failure on your controls??????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...