HIZI SASA SIFA......

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2016

    The mdudu, mambo mengine yana kera sana tena sana wajinga kama hawa tunapo waona kwenye hizo njia za hayo ma BUS tuyapigeni MAWE kwa njia hii hakika tutaikomesha hii tabia ya hawa watu walio zaliwa na mnyama sasa kama umezaliwa na mwanadamu utaanzia wapi kufanya huu ushenzi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2016

    Watanzania kazi yao kulalamika tu. Vichwa vigumu. Huyu namba zake zichukuliwe na apewe adhabu kali iwe fundisho. Lazima ifikie mahali tufuate sheria. Huyu akamatwe haraka sana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2016

    Ankal vipi haupo mjini?
    Ilikuwaje ukamruhusu huyu muhuni kutumia lugha kama hiyo hapo juu. Kwanza kuwambia watu wapige magari mawe ni uhalifu.Kisha kusema kuwa binAdam wengine wamezaliwa na wanyama ni matusi dhahir.Nakuombea ewe masikini Mwenyezi Mungu akufungue macho na kukuongezea utu kabla hujatumbukia shimoni

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2016

    Kitu ambacho siku nyingi nimekiona ni kwamba watanzania wengi walio nyumbani hua hawafuatilii habari za kila siku iwe ktk magazeti, radio au ktk tv.Ivi kweli kwa jinsi ambavyo makatazo ya kutumia njia ya mabasi maalumu yalivyorudiwa rudiwa tena na viongozi mbali mbali kuanzia rais ,waziri mkuu ,waziri wa ujenzi na hata wadau wengine leo hii huyu mwenzetu analithibitisha hilo. Yaani kama kaingia leo nchini hata wasi hana na vespa yake toka India.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2016

    Utajuaje kama anaokoa maisha ya mtu, kwa kumuwaisha hospitalini, si unajua nchi yetu gari la mgonjwa ni magari yetu ni msaada wa kwanza. Cha muhimu ni kuwakamata na kupigwa faini kubwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...