SIMU.TV: Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Prof Makame Mbarawa, amemuagiza wakala wa majengo nchini TBA kuhakikisha anakamilisha majengo yote ya watumishi wa serikali ifikapo Septemba; https://youtu.be/2TAVy68ovCo
SIMU.TV: Naibu waziri Mazingira Mh Luhaga Mpina ametoa agizo la mwezi mmoja kwa NEMC mkoani Mtwara kupima moshi na maji yanaosemekana kusababisha uchafuzi wa maji; https://youtu.be/T7O-FcqFz9s
SIMU.TV: Washiriki wa kongamano la jukwaa la viongozi Afrika wamesema, mapigano yanayoendelea katika baadhi ya nchi za Afrika ndio chanzo cha kukwama kwa shughuli za maendeleo barani humo; https://youtu.be/xgwfhK9la9E
SIMU.TV: Msemaji wa Chama cha Mapinduzi Christopher Olesendeka, amewataka watanzania kutojiingiza katika maandamano yanayoashiria uvunjifu wa amani;https://youtu.be/l1Me_YOIONw
SIMU.TV: Waziri wa nishati na madini amewaonya wakandarasi wanaojenga miradi mbalimbali ya umeme nchini kuwa serikali haitosita kuwafuta wale watakaojenga miundombinu mibovu; https://youtu.be/22bmgTq-sK4
SIMU.TV: Wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji imewataka wazalishaji wa bidhaa nchini kuzingatia viwango bora vya kutengeneza bidhaa; https://youtu.be/_ZqhvGxgL8g
SIMU.TV: Chama cha wafanyabiashara wenye viwanda nchini TCCIA, kimewataka wafanyabisahara kujifunza mbinu bora za uzalishaji nchini India;https://youtu.be/xb0gftyzAXI
SIMU.TV: Kampuni ya vinywaji baridi ya Cocacola mkoani Mbeya, imejitolea kuchangia madawati 100 mkoani humo kupunguza tatizo la madawati nchini;https://youtu.be/G1CnO5Y9R20
SIMU.TV: Timu ya soka ya Simba, inatarajia kucheza na timu ya Interclube kutoka nchini Angola katika kilele cha wiki ya samba maarufu kama Simba Day;https://youtu.be/U6COb1hiA_M
SIMU.TV: Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu za majeshi ya wananchi kwa ajili ya maandalizi ya kushiriki mashindano ya majeshi Afrika Mashariki;https://youtu.be/u8NYp-7zofY
SIMU.TV: Timu ya TBC Warriors itaanza mazoezi kujiwinda na mashindano mbalimbali huku wakijinasibu kuibuka na ushindi katika mashindano yote;https://youtu.be/x7jIZWetELc
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...