Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2013

    Kwa kweli Jabiri umeongea point nzuuri sana sana! Point taken, kweli elimu ndio msingi wa maisha kwa watoto wetu. Hata ukiwapa mali majumba wanaweza kuyauza tena kwa bei ndogo sana kuliko uliyojengea either wakati haupo duniani. Maisha kama maisha inabidi yaendelee kuvaa vizuri, kula vizuri, kuishi vizuri kama mzazi, tukijinyima sana maana yake pia tunajipunguzua siku za kuishi wenyewe kwa mawazo na kufikiria sana kuhusu watoto, kweli nao watoto wakikua watafanya wenyewe mambo makubwa kuliko tuliyowafanyia cha muhimu ni kuwapa elimu. Ndugu Landi pia umeongea point nzuri hakuna watu wabaya kama ndugu hasa inapokuja kwenye pesa na mambo mengi tu..Rafiki anaweza kuwa bora, siku ingine mjenge na kuzipangisha nyumba zenu kwa hata wazungu au watu wastaarabu kama mnaona zitaharibiwa na ndugu kuwalindia. Mkwavi naona leo ulikuwa unatoka nje mana huwezi kumlipa ndugu mana huyo sio mfanyakazi wako na ndio maana ya undugu akikaa bure kwako inatosha, ndugu halipwi anasaidiwa tu. Taratibu tutafika tu na Tanzania yetu ilivyo ngumu kwenye kila kitu. Kipindi naona kama hakijaisha next time mnaweza kuendelea na hii topic, ni ombi tu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2013

    bwana wee nakubaliana na kaka hapa. Ndugu kunakuumizana kama nini. Kuna kudhulumiwa kama nini
    We acheni tu. Ndugu nini? mwizi ni mwizi tu hata kama umezaliwa nae

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 19, 2013

    leo mpiga kelele hakuwepo kipindi kimekua kitamu kweli kweli point nzuri na zinaeleweka na mlistick kwenye subject matter..yule jamaa huwa anawaondoa kwenye somo husika ...big up wakuu point taken maisha ni pale unapoishi...ujenge bongo kwani utaishi miaka 90???pesa pata kula mavacation na watt wako thats it!!!bongo watajiju!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 19, 2013

    Mjadala mzuri sana.
    Maisha ni popote lakini vile vile tusisahau tulikotoka. Kweli elimu ni uwekezaji mzuri sana kwa watoto.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...