Mshambuliaji
wa Timu ya Maji Maji, Enyima Darlington akiruka sambamba na Beki wa
Simba kuwania mpira wa juu katika Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
uliopigwa jioni hii katika Uwanja wa Taifa,
Jijini Dar es salaam. Simba imeweza kuibuka kidedea kwa kuicharaza timu
ya Maji Maji mabao 4-0.
Mshambuliaji machachari wa Timu ya Simba, Laudit Mavugo akiondoka na mpira baada ya kumtoka Beki wa Maji Maji, katika Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa jioni hii katika Uwanja wa Taifa,
Jijini Dar es salaam. Simba imeweza kuibuka kidedea kwa kuicharaza timu
ya Maji Maji mabao 4-0.
Kipa wa Timu ya Maji Maji ya Songea "Wana Lizombe", Amani Simba akiruka bila mafanikio wakati akijaribu kuudaka mpira uliopigwa kwa umaridadi mkubwa na Mshambuliaji wa Simba, Jamal Mnyate na kuiandikia timu hiyo bao la kuongoza, katika Mchezo wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara uliopigwa jioni hii katika Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Simba imeweza kuibuka kidedea kwa kuicharaza timu ya Maji Maji mabao 4-0.
Mshambuliaji
wa Timu ya Maji Maji, Enyima Darlington akitoa pasi nzuri ya kichwa kwa
Mchezaji Mwenzake, Alex Kondo, katika Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara
uliopigwa jioni hii katika Uwanja wa Taifa,
Jijini Dar es salaam. Simba imeweza kuibuka kidedea kwa kuicharaza timu
ya Maji Maji mabao 4-0.
Ibrahim Ajib wa Simba akimpiga chenda maridadi, Luhanga Mapunda wa Maji Maji, katika Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa jioni hii katika Uwanja wa Taifa,
Jijini Dar es salaam. Simba imeweza kuibuka kidedea kwa kuicharaza timu
ya Maji Maji mabao 4-0.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...