Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Karatu wakimkaribisha kwa shangwe Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili mjini humo ambapo alifungua jengo la Halmashauri ya wilaya ya Karatu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kkwete akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Karatu muda mfupi baada ya kuwasili mjini hapo ambapo alifungua jengo la Halmashauri,Kufungua jengo la TRA wilaya na kuzindua mradi wa maji.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta na mtoto mwenye ulemavu Meshack Amos kutoka katika kijiji cha Kansay wilayani Karatu.Mtoto huyo alimweleza Rais kuwa amemaliza darasa la saba na hakupata fursa ya kuendelea na masomo Rais Kikwete ameahidi kumsomesha(Picha na Freddy Maro)
Great to see people smile, I mean honesty smiles.
ReplyDeleteGood on you Meshack,if you want something you go to the boss and ask. well done kijana and hopefully education will assist you in one way or another. Thanks JK.
ReplyDeleteHongera Rais wangu kwa kuwa na UTU.
ReplyDeleteHawa kina kikwete ni wasikivu sana na hawana makuu ni watu wa kujishusha mara zote.
ReplyDeleteLicha ya kuondoka karatu 2012,karatu ni sekondari ya wavulana iliyo km 7 kutoka karatu mjini. Kwa kumbukumbu hizo sare zilikuwa za sekondari ya welwel iliyo karatu mjini. Na siyo weruweru ile ya kilimanjaro.
ReplyDelete