Ndege ya Shirika la Algeria yenye nambari AH-5017 inayokadiriwa kuwa na watu zaidi ya 100 imepoteza mawasiliano na Shirika la Ndege hiyo dakika 50 mara tu baada ya kuruka kutoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ouagadougou nchini Burkina Faso.

Globu ya Jamii inaendelea kufuatilia tukio hilo na taarifa kamili tutaendelea kupeana kupitia hapa hapa.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2014

    Maafa yaliyo ongezeka ya safari za ndege duniani:

    Malaysia MH350 na MH17, ALGERIA AIR, Kenya Airways mwaka 2003, Air France mwaka 2009 kule Comoro bahari ya Hindi, Air France nbahari ya Atlantiki mwaka 2005.

    Licha ya hujuma na kutokea kwa kupangwa yanaweza kuletwa pia na ongezeko la yafuatayo ktk sayari ya dunia:

    1.(Climate change)
    -Mabadiliko ya hali ya hewa,kwa kuwa mawasiliano ya ndege huweza kuathiriwa kirahisi na hali ya hewa hasa inapobadilika ghafla kinyume na matarajio.

    2.(Excessive high powered energy nusess like Nuclear power)
    -Matumizi yaliyokithiri ya nguvu zenye nishati nyingi, kama Nyuklia.

    3.(Excessive activities of earth surface on industrial activities and war through powerful weaponry) -Shughuli zilizo kithiri ktk uso wa dunia kama viwanda na matumizi za silaha kali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...