Baadhi ya wananchi wa Bagamoyo wakiswali swala ya Magharibi wakati wa futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akichota futari pamoja na wananchi wa Bagamoyo walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akijumuka na wananchi wa Bagamoyo walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Jumatano jioni Julai 23, 2013. Rais Kikwete, ambaye yuko katika ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, aliwakilishwa na Mhe Ridhiwani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...