Mbunge wa jimbo la Ludewa,Mh. Deo Filikunjombe akizindua mradi wa maji kwa kunywa maji ya mto kwa majani ya mgomba maji ambayo wapiga kura wake wa kijiji cha Madindo Mlangali wamekuwa wakiyatumia. Mbunge huyo mbali ya kuzindua pia alitoa msaada wa matenki makubwa ya maji mawili na vifaa mbali mbali juzi.(picha na Francis GodwinBlog)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. REALLY? Ha! Ha! ukisepa home typhoid dose kwa poooole.

    ReplyDelete
  2. Mzee Umekunywa mdudu wa "Ebola"

    ReplyDelete
  3. Acheni hizo, haya ndiyo maji yaliyomkuza, ni safi na salama kabisa kuliko yale ya chupa. Huu ndio urithi na maisha yetu.

    ReplyDelete
  4. kazuga tu hajanywa

    ReplyDelete
  5. Nimeipenda hiyo Deo!

    ReplyDelete
  6. kichocho na magonjwa ya kuhara bado yapo, msitudanganye wacha tuchemshe maji hata ya bomba yachemshwe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...