Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akiongea na na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima pamoja na maafisa wa Ubalozi walipotembelea Ubalozi wa Tanzania Jumatatu tarehe 02 March 2015.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah pamoja na Maafisa wa Bunge akiwa katika picha ya na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima pamoja na maafisa wa Ubalozi walipotembelea Ubalozi wa TanzaniaJumatatu tarehe 02 March 2015.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...