Mkaguzi Msaidizi Idd Chanyika wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka Mkoa wa Zimamoto Ilala akielekeza watoto kutoka shule ya awali ya GENESIS waliotembelea kituoni hapo jana tarehe 12 Oct, 15 jinsi ya kutumia vazi la kujikinga na sumu pamoja na bacteria hatari.             
Mkaguzi Msaidizi Idd Chanyika wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akielekeza watoto wa shule ya awali GENESIS jinsi ya kukabiliana na moto wa hatua ya awali, mafunzo yaliyofanyika katika kituo cha Zimamoto na Uokoaji Ilala jijini Dar es Salaam jana tarehe 12 Oct, 15. Picha na FC Godfrey Peter

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...