Asalaam alaykhum. 

Familia ya marehemu Hassan Nurdin inatoa taarifa ya shughuli ya kisomo cha Arobaini ya Mzee wao marehem Ustaadhi Hassan Nurdin itakayofanyika Moshi Majengo Tarehe 20/2/2016 Siku ya Jumamosi Baada ya Swalatul Dhuhuri (Saa 7)
 Inna Lillah wainna ilayhi Raajiun 
Kwa mawasiliano. 0784 776565 0754 776565 
Chief Daud Mrindoko 0714 777979 0686 777979
Dr. Allysix Nurdin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiun. Tunakuomba Mwenyeez Mungu umraham mzee wetu, marehem Hassan Nurdin, umughufirie kwa yote na umlaze palipo pema peponi - AMEN.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...